katika taifa letu la tanzania kumeibuka hawa watu wanaojiita wadini,hawa ni baadhi ya wapuuzi wachache wenye malengo yao binafsi ya kutaka kuvuruga amani ya nchi kwa kisingizio cha kupiganiaa dini zao,embu tujiulize muda wote huo walikua wapi Mbaya zaidi wanamshirikish* mungu